Dr Mary Mwanjelwa akiwa na naibu waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Philipo Mulugo wakiimba kwa pamoja katika ibada hiyo ya shukrani |
Ndugu jamaa na marafiki toka sehemu mbali mbali walihudhuria ibada hii ya shukrani |
Kijana Tizo akilia akisema huwenda mungu alikuwa na makusudi yake kunifanya mimi niwe daraja la kumuokoa dada Mary |
Mchungaji Nyambo naibu waziri Mulugo na mkewe wakiwa makini kumsikiliza Tizo jinsi alivyomwokoa Dr Mary Mwanjelwa |
Ndugu jamaa na marafiki wakimsikiliza Tizo |
Hili ndilo gari alimokuwemo mweshimiwa mbunge Dr Mary
Mwanjelwa katibu wake aliteketea kabisa kwenye gari hilo dreva wagari ya mbunge kwa sasa anaendelea vizuri bado yupo kwenye matibabu DSM |
Askofu
wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini Magharibi Alinikisa Cheyo Ndiyo
aliongoza ibada hiyo ya
shukrani
|
Naibu waziri wa elimu Philipo Mulugo na Dr Mary Mwanjelwa wakicheza pamoja na kwaya ya Debora Mwaisabila kanisani hapo |
Debora Mwaisabila akiwa na waheshimiwa wabunge wakimtukuza mungu kwa wimbo |
Kwaya ya Paradise ikiimba kanisani hapo |
Mweshimiwa mbunge Dr Mary Mwanjelwa ametoa msaada wa baiskeli 10 za walemavu wa miguu zenye dhamani ya shilingi milioni 2.5 hapa akiwa pamoja na walemavu hao baada ya kuwakabidhi baiskeli zao |
EmoticonEmoticon