Naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Philipo Mulugo akikata utepe kuzindua na kufungua ofisi ya waendesha bajaji mkoa wa Mbeya eneo la isanga |
Naibu waziri Mlugo akishangiliwa na wanachama wa chama cha waendesha bajaji mkoa wa Mbeya mara baada ya kuzindua ofisi yao |
Katibu mkuu wa chama cha waendesha bajaji mkoa wa mbeya Ernest Mwaisango akisoma risala kwa mgeni rasmi |
Mwenyekiti wa chama cha waendesha bajaji Iddi Ramadhani akimkaribisha mgeni rasmi |
Kabla ya kuanza kuhutubia Mweshimiwa Mulugo akimkabidhi hundi ya shilingi milioni moja mwenyekiti wa waendesha bajaji Iddi Ramadhani ilikuboresha mfuko wao wakusaidiana |
Mulugo akimkabidhi mwenyekiti wa waendesha bajaji jumla ya shilingi laki nne kwa ajili ya kulipia kodi ya ofisi kwa mwaka mzima |
Pia mweshimiwa Mulugo alitoa kiasi cha shilingi laki tano kwa chama cha waendesha bodaboda mkoa wa mbeya hapa akipena mkono na makamu mwenyekiti wa chama hicho Fredy Mwambene |
Nae mc na mwandishi wa habari Chales Mwakipesile mwenye suti ameahidi kukipatia chama hicho kompyuta ya kisasa |
Hapa mweshimiwa Mulugo akishirikiana na waendesha bajaji katika kucheza na kufurahia uzinduzi wa ofisi hiyo |
Mweshimiwa naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi akiwahutubia wananchi waliofika katika uzinduzi huo |
Mara baada ya kumaliza hotuba yake akisindikizwa na wanachama wa chama cha waendesha bajaji kwenda kupanda bajaji na kumrudusha akapumzike |
Safari ya kwenda kupumzika imewadia anarudishwa na bajaji hadi kwakwe |
EmoticonEmoticon