Serikali ya DRC kuwa na mazungumzo na waasi wa M23

Waasi wa M23 kufanya mazungumzo na serikali ya DRC.

Wajumbe wa Serikali ya DRC wanasemekana kuwa wameshawasili Kampala, Uganda, kwa mazungumzo na waasi wa M23 yanayotarajiwa kuanza hivi leo 06.12.2012 ikiwa ni katika juhudi za kuutafutia ufumbuzi mgogoro baina yao.

Sylvia Mwehozi amezungumza na kiongozi wa tawi la kisiasa la M23, Jean-Marie Runiga ambaye anatarajiwa kuongoza upande wa waasi kwenye mazungumzo hayo.
Previous
Next Post »