HIVI MPAKA LEO KUNA WATU WANAOSEMA AJIRA HAKUNA

UKIONA MTU ANASEMA AJIRA HAKUNA LAZIMA ATAKUWA NA MATATIZO  KIJANA HUYU NI MWANAFUNZI LAKINI ANAJISHUGHULISHA NA KILIMO CHA MBOGA MBOGA ILI APATE PESA ZA KUJIKIMU.
 
 
 
 



HAPA AKIWA NA MDOGO WAKE AMBAYE PIA NI MWANAFUNZI WAKISAIDIANA.
Previous
Next Post »