March 15 2016 kituo cha ITV kimeripoti taarifa kutoka visiwani Zanzibar ambapo inadaiwa kuwa na taarifa za watu wasiojulikana kurusha bomu nyumbani kwa Mkuu wa Polisi Visiwani Zanzibar eneo la Kijichi. Mkuu wa Polisi huyo anayefahamika kwa jina la Hamdani Omar Makame, Kamishna wa Polisi Viswani Zanzibar Bado Jeshi la Polisi linafanya uchunguzi juu ya tukio hilo lilofanyika nyumbani kwa Kamishina huyo wa Polisi.
EmoticonEmoticon