RAIS DKT MAGUFULI AMEWAAPISHA WAKUU WA MIKOA IKULU LEO JIJINI DAR


Wakuu Wateule wa Mikoa wakisubiri kuapishwa na Rais
Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo naMh Angellah Kairuki












Wakuu wa Mikoa wapya kabla ya kuapishwa wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri Ikulu,mapema leo jijini Dar
Wageni waalikwa mbalimbali wakiwemo viongozi wa Ulinzi na Usalama
Wakuu wa Mikoa wakitia Saini hati kiapo cha Maadili ya viongozi wa  Umma leo mara baada kuapishwa Ikulu jijini Dar

WAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBELEA HOSPITALI YA MKOA WA KAGERA.

 Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akimsalimia Pedelia Erenius na mwanwe Alia James( miezi saba) wakati alipotembelea wodi ya wanawake na watoto katika hospitali ya mkoa wa Kagera mjini Bukoba Machi 15, 2016.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na madaktari na waguzi wa hospitali ya mkoa wa Kagera hospitalini hapo mjini Bukoba Machi 15, 2016. 
 Baadhi ya Madaktari na Wauguzi wa Hospitali  ya mkoa wa Kagera wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakti alipozungumza nao hospitalini hapo mjini Bukoba Machi 15, 2016. 
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Previous
Next Post »