MANENO YA SAMSASALI BAADA YA KIPINDI CHAO CHA 360 CHA CLOUDS KUPOKEA SIMU TOKA KWA MUHESHIMIWA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI HAKIKA WEWE KAKA UNAHEKIMA YA KIMUNGU NA MIMI NASEMA UBARIKIWE

  • samsasaliA Call From Our President. Nitakuwa mtu wa ajabu kama sitamshukuru Mungu kwa "Kibali" Mungu alichotupa Kipindi Cha 360 cha Clouds Tv. Kupata dakika 30 za Mhe. Rais kila siku kukutazama na Kukusikiliza na Kukufurahia Sio Jambo Jepesi. From No where Rais apige simu na Familia yake kukupongeza kwa kile unachokifanya what a Favor and honor. Miaka mingi Mama aliwahi niambia Njia ya Kwenda Juu ni Kushuka chini. Its God's Favor.
    I do appreciate Clouds Media Group, appreciate to my fabulous and anointed Team ya 360. Much appreciation to my Wife kwa kukubali kila asubuhi nimeache peke yake nikawahi tumikia Watanzania akiwemo President na Familia yake.
    Maneno Yote aliyosema Rais nitasahau lakini aliposema "Mungu Awabariki" nadhani aligonga Muhuri.. A President anatamka Baraka sio jambo Jepesi. First Lady nae akasema "Mungu Awabariki".... Mamlaka Zote Zimewekwa na Mungu kwa nyakati Zake... Kama Mamlaka Ikitamka Baraka, Kama Lango La Nchi likitamka Baraka basi Jua Mungu yuko Kazini.
    Usikate tamaa kwa kile unachokifanya kwa sababu haujawahi kuwa appreciated mahali. Huwezi Jua God's Time Is The Best Time.
    Proverb 18:16 International Standard Version
    A person's gift opens doors for him, bringing him access to important people.

Previous
Next Post »