Homa mpya imeibuka katika baadhi ya mikoa nchini Nigeria, huku mingi ikiwa ile ya kanda ya Ziwa, ugonjwa huu unaitwa Lassa na virusi vyake vinasambazwa na mnyama Panya.
Daktari mkuu wa majimbo ya kanda ya ziwa aitwae Dr Odagme Theophilus, amethibitisha kuwa mpaka sasa watu wawili wamepoteza maisha na wengine kadhaa kulazwa mahospitalini.
Ugonjwa huu unasambazwa kwa kugusana na Panya au kuvuta hewa ya kwenye chumba chenye Panya.
Dalili ya ugonjwa huu ni pamoja na homa kali, kutapika mfululizo, damu kutoka puani/masikioni na kuharisha.
EmoticonEmoticon