Serikali yaitaka Spencon kumaliza kazi ya usambazaji umeme vijijini kwa muda sahihi


IMG_1883
Msafara wa Naibu Waziri Nishati na Madini, Dk.Medard Kalemani ukikagua ujenzi wa kituo kipya cha mjini Singida cha kutawanya umeme kilovoti 400 wa gridi kutoka nchini Kenya na Tanzania. Kituo hicho kitasambaza umeme kutoka Singida kwenda mkoa wa Iringa na Shinyanga.
IMG_1910
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk.Medard Kalemani (wa kwanza kushoto mwenye miwani) akizungumza na maafisa kutoka ofisi na madini kanda ya kati  mkoa wa Singida na wa wilaya ya Manyoni, kwenye ofisi ya Mkuu wa wa wilaya hiyo ya Manyoni Fatma Touefiq.Wa pili kushoto ni Afisa Madini kutoka osifi ya madini kanda ya kati ambaye jina lake halikufahamika mara moja, Kamishina msaidizi wa madini kanda ya kati, Sosthenes Massola na Meneja wa kampuni ya Spencon inayosambaza umeme (REA) vijiji vya mkoa wa Singida, Machil Rao.
IMG_1920
Naibu Waziri Nishati na Madini, Dk.Medard Kalemani (katikati mwenye miwani) akisisitiza jambo kwa wamiliki wa migodi ya madini ya Gypum iliyopo kwenye kijiji cha Itigi wilayani Manyoni, Ismael Ivata Kushoto) na Yusuph Kibira (kulia mbele).
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk.Medard Kalemani (wa pili kushoto) akichunguza madini ya gypum maji inayotukika kutengenezea chaki katika kiwanda kidogo cha Mukhtar Mahamoud kijiji cha Itigi wilaya ya Manyoni. Dk.Kalemani ameahidi kushirikiana na mamlaka mbalimbali kutafuta soko la uhakika la chaki zinazotengenezwa na viwanda vidogo cha chaki Itigi.Wa tatu kushoto ni mbunge wa jimbo la Singida magharibi (CCM) Yahaya Masare.IMG_1929
Previous
Next Post »