Mpenzi wake ameomba Mbunge jimboni kwao kuingilia kati, kwa kuwa mpenzi wake hakua na nia mbaya zaidi alikuwa na lengo la kukamilisha ‘proposal'(kumvisha pete).
Alisababisha foleni kwa kusimama barabarani ili amvishe pete mpenzi wake, amevunja sheria na amehukumiwa jela miezi hii.When you are deeply in love hujali kitu
Mpenzi wake ameomba Mbunge jimboni kwao kuingilia kati, kwa kuwa mpenzi wake hakua na nia mbaya zaidi alikuwa na lengo la kukamilisha ‘proposal'(kumvisha pete).
EmoticonEmoticon