Mchungaji mmoja Raia wa Korea kusini mwenye asili ya Canada aitwae
Hyeon Soo Lim, amehukumiwa kifungo cha maisha Gerezani kwa kile
kilichoelezwa uhaini juu ya serikali ya Korea Kaskazini.
Hyeon aliekamatwa January mwaka huu, aliingia nchini humo kwa minajiri ya mahubiri na huduma nyingine za kiutu kwa binadamu.
Kabla ya kutoa hukumu Hakimu alidai kuwa, mtuhumiwa huyo alikuwa akihubiri maneno ya chuki dhidi ya Serikali, huku akishirikiana na mahasimu wa nchi hiyo kidiplomasia Marekani na Korea kusini.
Mahakama imemuhukumu Mch Hyeon Soo Lim, kutumikia kifungo cha Maisha jela.

EmoticonEmoticon