TAHADHARI KWA WATUMIAJI WA BARABARA YA LUPA ENEO LA NJIA PANDA ISANGA JIJINI MBEYA


Kipande cha barabara ya njia Panda Isanga karibu na Hotel ya Lifti Valey jijini Mbeya (LUPA WAY )ambacho kimejengwa upya kwa kuongezewa njia kimeleta sura mpya jijini hapa  lakini kimeleta pia changamoto kwa madereva hasa kwa nyakati za usiku  kwani hakuna taa hivyo nivema watumiaji wa barabara hii wakachukua tahadhari kwa kuto endesha kwa mwendo kasi ili kuepuka ajali zisizo za lazima .







KAWAIDA Kipande cha barabara ya njia Panda Isanga karibu na Hotel ya Lifti Valey jijini Mbeya (LUPA WAY )ambacho kimejengwa upya kwa kuongezewa njia kimeleta sura mpya jijini hapa lakini kimeleta pia changamoto kwa madereva hasa kwa nyakati za usiku kwani hakuna taa hivyo nivema watumiaji wa barabara hii wakachukua tahadhari kwa kuto endesha kwa mwendo kasi ili kuepuka ajali zisizo za lazima .
Previous
Next Post »