BREAKINGNEWS MCHUNGAJI MTIKILA AFARIKI DUNIA KWA AJALI

Taarifa nilizozipata hivi punde, Mch. Christopher Mtikila amefariki Dunia! Mtikila amepoteza maisha baada ya kupata ajali mkoani Pwani akitokea mikoa ya Kanda ya Ziwa na inadaiwa alikuwa akiwahi kipindi Star Tv. Katika gari alikuwa na mlinzi pamoja na dereva wake ambao wamejeruhiwa. Mtikila alikufa pale pale eneo la ajali na mwili wake umehifadhiwa ktk Hospitali ya Tumbi. RIP Mtikila! Samahani siwezi weka picha za ajali hapa.
Previous
Next Post »