Brendan
Rodgers amepigwa picha akiwa airport na familia yake ambayo ni mtoto
wake pamoja na mchumba wake. Rogders aliondoka Liverpool na ndege
binafsi siku ya Jumatatu asubui na kufika Malaga Hispania muda mchache
baadae.Rodgers alijulishwa kupitia simu na mmiliki wa kampuni ya Fenway
Sports Group Mike Gordon ambae ni rais wa kampuni hiyo. Hizi ni picha za
kwanza ambazo amepigwa Brendan baada ya kufukuzwa kazi.
KONA YA JAMII
SPORTS
PICHA ZA BRANDAN RODGERS ALIVYOSEPA NA FAMILIA YAKE BAADA YA KUTIMULIWA LIVERPOOL.
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon