Mtangazaji
wa TV 1 MESHACK NZOWAH anaomba mchango wako wa hali na mali kumuwezesha
kwenda nchini India kwa Matibabu kufuatia ajali mbaya ya gari
aliyoipata hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Kiasi cha Shilingi Milioni 30 zinahitajika kufanikisha matibabu hayo.
UNAOMBWA MCHANGO WAKO
Tafadhali tuma mchango wako kwa namba za simu zifuatazo
0715304185 au 0713461627 au
Tuma kupitia akaunti ya NMB namba 20110009584
ASANTENI
EmoticonEmoticon