Mgombea Ubunge kwa Tiketi ya Chadema Mh Joseph Mbilinyi (Sugu)akitoa sera zake kwa wakazi wa kata ya Sisismba jijini Mbeya(Picha na David Nyembe wa Fahari News) |
Wananchi wa kata ya sisimba wakimsikiliza kwa makini Mgombea Ubunge kwa Tiketi ya Chadema Mh Joseph Mbilinyi (Sugu) |
Mgombea wa kiti cha udiwani Kata ya Sisismba Bw Jofrey Kajigili akitoa sera zake kwa wananchi. |
Ezekia Charles Mwawipa Mwenye Umri wa Miaka kumi na saba(17)akipigia kampeni Diwani wa Kata ya Sisimba Bw Jofrey Kajigili. |
Wananchi wa kata ya sisimba wakimsikiliza kwa makini Mgombea Ubunge kwa Tiketi ya Chadema Mh Joseph Mbilinyi (Sugu) |
EmoticonEmoticon