Baadhi ya wananchi katika kata ya Kifula ,jimbo la Mwanga wakifuatilia uzinduzi wa mkutano wa kampeni wa chama cha NCCR-Mageuzi. |
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi na Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA,James Mbatia akihutubia katika mkutano huo. |
Mke wa mgombea Ubunge katika jimbo la Mwanga,Youngsevier Msuya,Dorcas Youngsevier akizungumza katika mkutano huo. |
Baadhi ya viongozi wa chama cha NCCR-Mageuzi wakifuatilia mkutano huo. |
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi na Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA,James Mbatia akihutubia katika mkutano huo |
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi na Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA,James Mbatia akiwatamburisha wasaidizi wake na wagombea udiwani katika jimbo la Mwanga kupitia chama cha NCCR-Mageuzi |
Baadhi ya wagombea wa nafasi ya Udiwani katika jmbo la Mwanga. |
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi na Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA, James Mbatia akimtambulisha mgombea Ubunge katika jimbo la Mwanga ,Youngsevior Msuya mbele ya wananchi katika jimbo la Mwanga. |
Mgombea Ubunge katika jimbo la Mwanga ,Youngsevier Msuya akihutubia katika mkutano huo. |
Wanachama wa chama cha NCCR-Mageuzi wakicheza mara baada ya kumalizika kwa uzinduzi wa kampeni katika jimbo la Mwanga. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini (0755 659929). |
EmoticonEmoticon