Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Kuwait Nchini
Tanzania Mhe. Jasem Najem wakati Balozi huyo alipomtembelea Makamu wa Rais
Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo Septemba 18, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Sweden Nchini
Tanzania Mhe. Katarina Rangnitt wakati Balozi huyo alipomtembelea Makamu wa
Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo Septemba 18, 2015, kwa ajili ya kujitambulisha
rasmi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Finland Nchini
Tanzania Mhe. Pekka Hukka wakati Balozi huyo alipomtembelea Makamu wa Rais
Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo Septemba 18, 2015 kwa ajili ya
kujitambulisha rasmi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na
Balozi wa Finland Nchini Tanzania Mhe. Pekka Hukka wakati Balozi huyo alipomtembelea
Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo Septemba 18, 2015 kwa
ajili ya kujitambulisha rasmi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Balozi wa Finland Nchini Tanzania
Mhe. Pekka Hukka Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo Septemba 18, 2015.
(Picha na OMR)
EmoticonEmoticon