Mapema jana Kampuni ya Global Education Link (GEL) ambao ni wakala wa
vyuo vya nje ya nchi waliweza kusafirisha wanafunzi wapatao 70 kwenda
nchini China kwa ajili ya masoma. Akizungumza Mkurugeni wa GEL,
Abdulmaliki Mollel alisema kuwa wanamshukru Mungu kwa kuendelea
kuwafungulia milango ya kuendelea kupokea wanafunzi wanaopenda kusoma
vyuo nje ya nchi.
Pichani: inawaonyesha wakiwa tayari katika mstari wa kukaguliwa ili
waweze kuanza safari yao ya kwenda nchini China kimasomo.
Mzazi kumuaga mwanae kwa bashasha.
Mwandishi wa Mlimani Tv akifanya mahojiano na mmoja ya wanafunzi anyekwenda kusoma chuo kikuu nchini China.
Mkurugenzi
Msaidizi wa GEL, Zakia kulia akimhoji mwanafunzi endapo anavielelezo
vyote vya kusafilia ikiwemo Passport na nyaraka nyingine za shule.
Mmoja ya wazazi akikagua nyaraka za mwanae kabla hajasafiri.
Mfanyakazi wa GEL, JacquelineMbise akifanyiwa mahojiano na waandishi wa habari kuelezea maandalizi yote ya safari.
Wafanyakazi wa GEL, wakijadili jambo.
Wafanyakazi wa GEL, wakiendelea mahojiano na wazazi pamoja na wanafunzi.
Wazazi
waliotoka jijini Arusha wakiwa katika sura ya furaha kwa ajili ya
kumuaga Kijana wao ambaye alikuwa akisafiri kwenda nchini China kwa
masomo.
Baadhi
ya wanafunzi wanaokwenda kusoma vyuo vya nchini China wakiwa Uwanja wa
ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam
kungojea kuondoka. Wanafunzi hao wanaondoka nchini chini ya usimamizi
wa Kampuni ya Global Education Link (GEL) ambao ni wakala wa vyuo vya
nje ya nchi.
Wazazi wakipiga ya kumbukumbu pamoja na mtoto wao.
Wafanyakazi
wa Kampuni ya Global Education Link (GEL) ambao ni wakala wa vyuo vya
nje ya nchi wakiwa katika nyuso za furaha mara baada ya kumaliza kazi
yao.
EmoticonEmoticon