Msanii wa Filamu za kibongo anayeongoza kwa urembo ndani ya tasnia hiyo, Wema Abraham Sepetu, aliyekuwa anagombea Ubunge wa Viti Maalum jimbo la Singida amebwagwa chini baada ya kupata kura 90 tu katika uchaguzi huo.
Mgawanyo wa kura ulikuwa hivi;
1. Aysharose Mattembe (311)
2. Martha Mlata(235)
3. Diana Chilolo(182)
4. Wema Sepetu(90)
Baada ya matokeo hayo, Lulu Michael amemtia moyo Wema Sepetu kwa Kuandika ujumbe huu;
Kuna matokeo ya aina 3 >>Kushinda >>Kushindwa >>Kudroo.

EmoticonEmoticon