JOSEPHINE MGAZA AGOMBEA VITI MAALUM TANGA




Mgombe ubunge viti maalumu mkoa Wa  Tanga.
Wanawake ni nguzo ya maendeleo.

DHAMIRA YANGU

1. Kuwaunganisha wanawake wote Wa mkoa Wa tanga

2. Kujenga jumuiya imara ya UWT. 3. Kusaidia na kuboresha maisha ya wanawake Wa makundi     
    mbalimbali

4. Kuwa mtetezi na mwakilishi Wa wanawake katika masuala ya kijamii na kiuchumi.

5. Kusaidia uanzishwaji Wa miradi ya kiuchumi ili kupambana na umasikini.

6. Nitakuwa mtumishi wenu  na sio kiongozi. Nichague Mimi nikawatumikie kwa manufaa ya wanawake    
     Wa mkoa Wa Tanga.
Daima wanawake ni nguzo ya  jamii.
** Chagua Josephine Mgaza***
Previous
Next Post »