Habarini watanzania, nimesema nitagombea jimbo la Bunda mjini lakini
sitogombea kwa tiketi ya CCM, sina ugomvi na CCM wamenilea na nimekulia
huko, na kutogombea kwangu kupitia CCM kusihusishwe na mtu na nafasi ya
Urais. Ila nimelitumikia Taifa langu nikiwa CCM naona nitalitumikia
Vizuri zaidi nikiwa kwingine. Kumbukeni chama ni njia ya kupita ila
umuhimu wa kulijenga Taifa letu ni la watanzania wote bila kujali vyama
vyetu. Mungu ibariki Tanzania.
EmoticonEmoticon