JANETH MBENE AJITOSA KUWANIA JIMBO LA ILEJE


Naibu waziri wa Viwanda na biashara na mgombea ubunge wa jimbo la ileje mkoani Songwe, Janet Mbene akisalimiana na vijana waliotokea kumlaki katika kata ya isoko walayani hapo.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Janet Mbene akipokea zawadi ya ungo kutoka kwa mwakilishi wa wasuka ungo wa bundali. Picha na Humphrey Shao.
Naibu waziri wa Viwanda na biashara na mgombea Ubunge katika jimbo la Ileje mkoa wa Songwe,Janet Mbene akitembea huku mamia ya watu wakimfuta nyuma mara baada ya kumalizika kwa mkutano wake na wajumbe wa halmashauri wa kata ya Isoko kuomba wamchague katika uchaguzi wa kura za maoni za CCM. Picha na Humphrey Shao.
Previous
Next Post »