THE MBONI SHOW YATIMIZA MIAKA MITATU, YATOA MISAADA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI


Mwongozaji wa ‘The Mboni Show’, Mboni Masimba (katikati), akizungumza na waandhi wa habari kabla ya kukabidhi msaada wa vifaa mbalimbali vya hospitali vyenye thamani ya milioni 7/- katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Miaka mitatu ya ‘The Mboni Show’ katika hafla iliyofanyika hospitalini hapo jijini Dar es Salaam jana. Shughuli yote imewezeshwa na Wadhamini PSPF, Nakiete Pharmacy na the Fadhaget Sanitarium Clinic. Kushoto ni Mkuu wa Idara ya Magonjwa ya Kike na Uzazi katika Hospitali hiyo, Mathew Kallanga na  Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Picha zote na John Badi

Mwongojazi wa ‘The Mboni Show’, Mboni Masimba (wa tatu kulia), akikabidhi msaada wa vifaa mbalimbali vya hospitali vyenye thamani ya milioni 7/- kwa Mkuu wa Idara ya Magonjwa ya Kike na Uzazi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dk. Mathew Kallanga, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Miaka mitatu ya ‘The Mboni Show’ katika hafla iliyofanyika hospitalini hapo jijini Dar es Salaam jana. Anayeshuhudia (katikati) ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda.
Mtangazaji wa ‘The Mboni Show’, Mboni Masimba (kulia), akikabidhi msaada wa vifaa mbalimbali vya hospitali vyenye thamani ya milioni 7/- kwa Mkuu wa Idara ya Magonjwa ya Kike na Uzazi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dk. Mathew Kallanga, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Miaka mitatu ya ‘The Mboni Show’ katika hafla iliyofanyika hospitalini hapo jijini Dar es Salaam jana. Anayeshuhudia (wa pili kulia) ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda.
Mboni akikabidhi zawadi za nguo za watoto kwa mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika wodi ya wazazi ya hospitali hiyo.
Previous
Next Post »