Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi DR. TITUS KAMANI amesema tasnia ya nyama hapa nchini inaweza kufikia malengo yake iwapo itaboreshwa zaidi kukidhi mahitaji ya ndani na nje.

Alikuwa akizindua Baraza la Tatu la Tasnia ya Nyama linalofanyika mjini Morogoro na kuhudhuriwa na wadao 110 wa tasnia ya nyama kutoka sehemu mbali mbali hapa nchini.
Previous
Next Post »