WATU 18 WAMEFARIKI KATIKA AJALI YA HIACE KIWIRA MBEYA SAMAHANI KWA PICHA HIZI


Watu 18 wamefariki dunia katika ajali ya hiace maeneo ya kiwira wilayani Rungwe Mkoani Mbeya na inasemekana majeruhi ni wawili gari hii ilikuwa ikiokea mbeya mjini kwenda Tukuyu
Previous
Next Post »