Baadhi ya Majeruhi mara baada ya ajali hiyo kutokea.
Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 25 kujeruhiwa baada ya basi la Jordan
lililokuwa likitoka Mwanza kwenda Arusha kupinduka eneo la Nzega mkoani
Tabora.
Mtu huyo mmoja aliyepoteza maisha ni baada ya kulaliwa na basi hilo.
Basi hilo lenye namba za usajili T650 AQZ, inaelezwa kuwa lilipinduka baada ya kumshinda dereva katika eneo lenye kona kali. |
EmoticonEmoticon