Waziri mkuu MIZENGO PETER PINDA leo anazindua ripoti ya mwaka mmoja 2013 / 2014 wa mpango wa kutekeleza matokeo makubwa sasa yaani (BRN) katika ukumbi wa mlimani City jijini Dar es salaam.
Waziri mkuu pinda amesema ripoti hiyo inamrengo kabambe wakuona ninamna gani wamefikia lengo na hivyo kuweza kujitathimini kupitia matokeo hayo ambayo yana malengo makuu ya dira ya dunia hadi ifikapo mwaka 2025.
EmoticonEmoticon