MHESHIMIWA MWIGULU NCHEMBA ASEMA KUNA HATUA WALIZOANZA KUCHUKUA ILI KUPELEKA UCHUMI WA TAIFA KUWA NCHI YA KIPATO CHA KATI.

https://igcdn-photos-b-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xfa1/t51.2885-15/11018507_340681482795793_760392936_n.jpghttps://igcdn-photos-b-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xpf1/t51.2885-15/10011404_818370511569425_1611285721_n.jpg

AWAMU YA TANO NI AWAMU YA KAZI. "KAZI MOJA TU KULIPELEKA TAIFA KUWA NCHI YA KIPATO CHA KATI"
Kufikia hatua hii lazima mambo haya yazingatiwe
1) Lazima nchi ijitagemee kibajeti, nchi haiwezi kuwa Taifa la kipato cha kati kwa kutegemea wahisani.
2) Lazima kusimamia maadili katika rasilimali za umma na nidhamu ya kazi. Nchi haiwezi kuwa ya kipato cha kati kama hakuna maadili katika matumizi ya rasilimali za umma na nidhamu ya kazi. "Mabadiliko ni Vitendo"
3) Usawa katika mgawanyo wa keki ya Taifa. Nchi haiwezi kuwa ya kipato cha kati kama wananchi wake wengi sio wa kipato cha kati bali wanaiona keki ya Taifa kwenye picha tu. "Awamu ya Tano ni Awamu ya Kazi"

Previous
Next Post »