HAIMAYE AFANDE SELE AMFUATA ZITTO KABWE KWA KUJIUNGA RASMI NA CHAMA CHA ACT.


Mwanamiziki wa muziki wa kizazi kipya, Suleiman Msindi (Afande Sele) Asubuhi hii naye amejiengua CHADEMA na amejiunga pamoja na Zitto katika Chama cha ACT.
Previous
Next Post »