AJALI NYINGINE TENA MUNGU TUSAIDIE WAHUSIKA TAZAMENI HILI SASA KWA JICHO LA TATU.


Basi la Sharoon linalofanya safari zake Arusha to Dodoma limeacha njia na kuanguka eneo la Kisongo, Arusha Asubuhi ya leo. Hakuna mtu aliyeripotiwa Kufa. ni Majeruhi tu.
Taarifa zaidi zitawajia.Endelea kufuatilia mtandao huu.
Previous
Next Post »

EmoticonEmoticon

:)
:(
=(
^_^
:D
=D
=)D
|o|
@@,
;)
:-bd
:-d
:p
:ng