Baba mzazi wa mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini, Dully Sykes, Mzee Sykes amefariki dunia leo akiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili, jijini Dar es Salaam. Global Publishers inatoa pole kwa Dully Sykes na familia nzima ya Mzee Sykes kwa msiba huu mzito. Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe!
Artikel Menarik Lainnya
FAINALI BONGO STAR SEARCH 2015 IJUMAA HII
TUNATOKA MBALI AISE TAZAMA BAADHI YA PICHA ZA MASTAA ENZI ZA UTOTO WAO UNAWEZA USIWATAMBUE
Ben Pol, signed a long term management contract with Panamusiq, Tanzanian leading music act, Ben Pol, signed a long term management c
HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA SHOW YA MCHEKESHAJI MC PILIPILI DODOMA
VOTE for Vanessa Mdee @vanessamdee Best Female at the MTV AFRICA MUSIC AWARDS. 1,127 likes vanessamdeeHey lovers 😘 #20VotesADayForTheWin 😘🏆💪🏾 #MTVMAMA2015
WILL SMITH: NITAGOMBANIA URAIS MAREKANI. Mkali wa muziki na filamu nchini Marekani, Will Smith, amesema bado ana
EmoticonEmoticon