BREAKING NEWS HUKO ZANZIBAR YAMETOKEA MASHAMBULIANO BAINA YA POLISI NA WATU WANAOSADIKIWA KUWA NI MAJAMBAZI


x



Kutoka visiwani Zanzibar taarifa za hivi punde zinasema kumeibuka mtafaruk mkubwa kufuatia uwepo wa mashambuliano ya risasi baina ya watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wakipambana na Jeshi la Polis katika eneo la Darajani.

Jamii ya watu mbali mbali waliozunguka eneo hilo wameshtuwa ambapo hadi hivi sasa majibizano hayo ya risasi yangali yanaendelea.

Mazrui media hatupo mbali na tukio hili kuwajulisha kinachojiri.
Previous
Next Post »