Baadhi ya wakazi wa makete mjini wakimshughulikia Duma kwa ajili ya kitoweo

Aliuawa kijiji cha lupombwe huko makete akaletwa makao makuu ya wilaya watu wakamla.

 Mmoja kajipatia mnofu saaafi wa duma
 Wakimchuna ngozi
wakifurahia nyama ya duma
Wananchi wa wilaya ya Makete mkoani Njombe wakifurahia nyama ya duma aliyeuawa kijiji cha Lupombwe wilayani hapo, ambapo walikwenda kuipika na kuila.   Picha na Aldo Sanga-eddy Blog Makete.
Previous
Next Post »