Mbunge wa
Mbeya Vijijini Mh.Mchungaji Luckson Mwanjale akiwa amebebwa na wahudumu
wa afya baada ya kudondoka ndani ya Jengo la Ukumbi wa Buge leo
mchana.Chango cha kuanguka kwake huko bado hakijafahamika na sasa huko
kwenye uangalizi wa madaktari kwa uchunguzi zaidi.Taarifa zaidi baadae
kidogo.
EmoticonEmoticon