Afande Sele
Msanii wa muziki Afande Sele ambaye
miezi kadhaa iliyopita aliweka wazi nia yake ya kuingia katika siasa na
kugombea Ubunge, kwa sasa ndoto yake hii kwa mujibu wake inategemea
mchakato wa Katiba utakavyomalizika.
fande Sele
amesema kuwa, baada ya kuona taratibu zilivyo kwa mujibu wa Katiba
ambayo wananchi wataikubali, hapo ndipo na yeye atapata nguvu na msimamo
wenye uhakika katika malengo yake ya baadaye kisiasa.
EmoticonEmoticon