Kaimu Mkutugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga
Tanzania (TCAA) Charles Chacha (katikati) na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa
Kampuni ya COMSOFT Mr.Manfred Schmid (kushoto)wakimsikiliza
kwa makini Mkurugenzi wa Mradi wa
Comsoft Dr.Gunther Hellstrn ( kulia )wakati
alipokuwa akitoa mada juu ya usimamizi wa mitambo ya ADS-B ambayo inatumika kwa
ajilia ya usalama wa Anga wakati semina
iliyowahusisha wahandisi wa mamlaka ya usafiri wa Anga Barani Afrika iliofanyika
leo ktika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam ikiwa imeandaliwa na COMSOFT ya
Ujeremani.
Baadhi ya Wahandisi na wataalamu wa masuala ya usafiri wa
anga kutoka barani Afrika wakimsikilza kwa makini Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa
Kampuni ya COMSOFT Mr.Manfred Schmid (kushoto)
wakati wa semina ya usimamizi wa mitambo ya ADS-B ambayo inatumika kwa ajilia
ya usalama wa ndege ikiwa kwenye anga
husika.iliyofanyika katika hoteli ya serene leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya COMSOFT Mr.Manfred Schmid na Mkurugenzi
wa Mradi wa Comsoft Dr.Gunther Hellstrn ( kulia ) wakimsikilza
kwa makini mtaaramu wa kuongoza ndege
kutoka Uganda (UGATCA) Magret Kagendo wakati alipokuwa akiuliza swali
wakati wa
semina iliyowashirikisha wahandisi na wataalamu wa Mamlaka ya usafiri wa
Anga
barani Afrika iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wahandisi na wataalamu wa masuala ya usafiri
wa anga kutoka barani Afrika wakimsikilza Mkurugenzi wa Mradi wa Comsoft Dr.Gunther Hellstrn ( kulia ) juu ya masuala
ya usimamizi wa usalama wa Anga katika semina
iliofanyika leo katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam
Kaimu Mkutugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga
Tanzania (TCAA) Charles Chacha (katikati) na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa
Kampuni ya COMSOFT Mr.Manfred Schmid (kulia)wakimsikiliza
kwa makini Mkurugenzi wa Mradi wa
Comsoft Dr.Gunther Hellstrn ( kulia )wakati
alipokuwa akiongelea masuala ya usimamizi wa usalama wa Anga katika semina iliyowahusisha wahandisi wa
mamlaka ya usafiri wa Anga Barani Afrika uliofanyika leo ktika Hoteli ya Serena
jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkutugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga
Tanzania (TCAA) Charles Chacha (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni
ya COMSOFT Mr.Manfred Schmid (kulia)wakiwa
miongoni mwa washiriki wa semina ya wahandisi na wataalamu wa uendeshaji wa
mamlaka ya usafiri wa Anga barani Afrika iliyofanyika leo katika hoteli ya Serena,jijini Dar es Salaam,Semina
hiyo imeandaliwa na kampuni ya Comsoft ya Ujerumani ambao ni wataalamu wa
mitambo inayotumika kwa ajili ya usalama
ndege wakati ikiwa anga husika.
Washiriki wa semina yamasuala ya mitambo ya
ADS-B amabayo inatumika kwa ajili ya usalama wa Anga na Uangalizi wa Ndege
inapotoka kwenye anga husika na kwenda naga nyingine iliyo wahusisha Wahandisi na wataaramu wa masuala ya usafiri
wa anga kutoka barani Afrika ,wakifuatilia moja ya mada zilizokuwa zikitolewa
kwenye semina hiyo iliyoandaliwa na COMSOFT
jijini Dar es Salaam.
EmoticonEmoticon