Waandishi wakipata maelekezo ya Uzinduzi wa Uwanja Mpya wa Michezo ya Majeshi Zanzibar katika kambi ya migombani ulifunguliwa na Mkuu wa Majeshi Tanzani Jenerali Davis Mamunyange.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Davis Mwamunyange, akikata utepe kuashiria kuufunguauwanja mpya wa michezo ya majeshi Zanzibar yanayotarajiwa kufunguliwa kesho na Rais waZanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein, katika uwanja wa Amaan, jumla ya nchi tano zinashiriki michezo hiyo Tanzania, Kenya, Uganda Ruwanda na Burundi.kushoto Mkuu wa Wilaya ya Mjini Magharibi Mhe.Abdallah Mwinyi Khamis na kulia Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar Shariff Shekh Othman.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Davis Mwamunyange, akiwa na Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar Shariff Shekh Othman kulia na kushoto Mkuu wa Wilaya ya Mjini wakimshindikiza Mkuu wa Majeshi kukagua timu baada ya ufunguzi wa uwanja huo wa michezo ya Majeshi Migombani Zanzibar.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Davis Mwamungyange, akiikagua timu ya JWTZ, baada ya Kuuzindua Uwanja Mpya wa Michezo ya Majeshi, yanayotarajiwa kufunguliwa kesho uwanja wa Amaan na Rais wa Serekali ya Mapinduzi Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein,
EmoticonEmoticon