HUYU NDIO MAMA WA MTOTO WA PROFESA JAY MAMA LISA






Picha: Profesa Jay amuonesha



Ukiiangalia kwa makini picha hiyo utagundua kuwa Profesa ameshikilia fimbo na mavazi ambayo alikuwa anafanyia shooting ya wimbo wake 'Tatu Chafu'.

Profesa Jay amemuonesha mwanamke ambaye anaweza kuwa Mrs. Joseph Haule ambaye amemtaja kama mama mtoto wake.
Kupitia Instagram, Profesa amepost picha akiwa na mwanamke huyo na kuandika, “OF COURSE ni Baba LISA na Mama LISA. .... What more can I SAY?? #MWANALIZOMBE.”
Previous
Next Post »