HUU NI UNYANYASAJI WALAH

Photo: Ndugu wa wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro wemelalamikia uongozi wa hospitali hiyo kufunga choo nyakati za jioni na kusababisha usumbufu kwa watu wanaolala hospitalini hapo kukosa sehemu ya kujisaidia wakizungumza na ITV ndugu hao wamesema licha ya kutozwa gharama kubwa za kulipia  choo  wanakosa huduma hiyo  mara ifikapo nyakati za jioni hadi asubuhi na baabhi yao  kulazimika kwenda kwenye mitaro ya barabara.

Ndugu wa wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro wemelalamikia uongozi wa hospitali hiyo kufunga choo nyakati za jioni na kusababisha usumbufu kwa watu wanaolala hospitalini hapo kukosa sehemu ya kujisaidia ndugu hao wamesema licha ya kutozwa gharama kubwa za kulipia choo wanakosa huduma hiyo mara ifikapo nyakati za jioni hadi asubuhi na baabhi yao kulazimika kwenda kwenye mitaro ya barabara.
Previous
Next Post »