HIVI MPAKA LINI TUTAENDELEA KUONA UHAI WA NDUGU ZETU UKITOLEWA KWA AJALI ZA BARABARANI KILA SIKU AMKA TANZANIA IFIKE WAKATI TUSEME IMETOSHA NA HATUA MADHUBUTI ZICHUKULIWE KILA SIKU AJALI JAMANI INAUMA.


 Muonekano wa basi la Hood kwenda Mbeya baada ya kugongana na Hiace eneo la Kilala, Arusha asubuhi ya leo.
 Wananchi wakiwa wamekusanyika baada ya basi la Hood kwenda Mbeya baada ya kugongana na Hiace eneo la Kilala, Arusha.
 Muonekano wa Hiace hiyo kwa mbele baada ya ajali.



Watu 5 wamekufa baada ya basi la Hood kwenda Mbeya kugongana na Hiace eneo la Kilala, Arusha asubuhi ya leo, wengi wajeruhiwa.
Previous
Next Post »