HEEE KUMBE KWELI UMEACHA KAZI ITV BASI KILA LA KHERI KAKA


Maulid Kitenge.
MTANGAZAJI wa michezo wa Radio One Stereo, Maulid Kitenge kupitia akaunti yake ya Twitter hivi punde ametangaza kuondoka rasmi katika radio hiyo baada ya kuitumikia kwa miaka 14. Kupitia Twitter, Kitenge ameandika hivi:
Previous
Next Post »