BREAKIN NEWZ!!:- JAJI LEWSI MAKAME WA TUME YA UCHAGUZI AMEFARIKI DUNIA


Jaji Lewis Makame amefariki muda mchache uliopita katika Hospitali ya Trauma Centre Masaki, aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, habari zaidi endelea kufuatilia mtandao huu
Previous
Next Post »