BREAKING NEWS MBUNGE WA TABORA MJINI ISMAIL RAGE NA WATU WANNE WANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI ILIYOTOKEA MUDA SI MREFU HUKO DODOMA BAADA YA GARI WALILOKUWA WAKISAFIRIA KUPINDUKA










Taarifa zinasema wanamajeraha na tayari wamekimbizwa hospitali afya zao zaendelea vizurI.Kwa habari zaidi endelea kufuatilia mtandao huu
Previous
Next Post »