BREAKING NEWS: BASI LA HOOD TOKA ARUSHA KWENDA MBEYA LAUA WATANO ARUSHA



Ajali iliyohusisha basi la HOOD na daladala maeneo ya Usa River mkoani Arusha muda huu...Ambapo dereva wa dala dala kafariki hapo hapo


Watu 5 wamekufa baada ya basi la Hood kwenda Mbeya kugongana na Hiace eneo la Kilala, Arusha asubuhi hii, wengi wajeruhiwa. 
Previous
Next Post »