BREAKING NEW BASI LA "LIM SAFARIS" LAPATA AJALI MAENEO YA KWAMNDULU, TANGA.




Basi aina ya YUTONG la kampuni ya LIM SAFARI limepata ajali  eneo la kwa Mndulu katika wilaya  ya Korogwe mkoani Tanga mchana wa leo, hata hivyo ni jambo ya kumshukuru Mwenyezi Mungu abiria wote waliokuwa kwenye basi hilo walinusurika kifo lakini raia wawili wa kigeni waliokuwa pembezoni mwa barabara wamejuruhiwa kwa kupata michubuko sehemu mbalimbali za mwili

.

Basi hilo lilikua likitoka jijini Dar es Salaam  kuelekea Arusha likiwa na namba za lenye usajili T578CQR.








Previous
Next Post »