Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mh. Mathias Chikawe akifunga mkutano wa wafanyakazi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) uliofanyika ndani ya hoteli ya Snowcrest jiji Arusha.
Washiriki katika mkutano wa Wafanyakazi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi kwa makini wakati akifunga mkutano wao katika hoteli ya Snowcrest.
Waziri Chikawe anapena mkono na Mkurugenzi wa NIDA Dickson Maimu mara baada ya kutoa risala ya kufunga mkutano huo.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) , Dickson Maimu akitoa shukurani kwa Waziri kwa kuja kufunga mkutano wao.
Washiriki katika mkutano wa Wafanyakazi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Nchi Mathias Chikawe nje ya jengo la hoteli ya Snowcrest sehemu ambayo mkutano ulikuwa unafanyika.
Washiriki wakipongezana mara baada ya Waziri Chikawe kufungua mkutano huo.

EmoticonEmoticon