Golikipa wa MarekaniTim Howard akiokoa moja ya mipira iliyoelekezwa golini kwake.
Magoli ya Ubelgiji yamefungwa na K.De Bruyne dakika ya 93 na R.Lukaku dakika ya 105 wakati goli la kufutia machozi lilifungwa na J.Green dakika ya 107
Mashabiki wa Marekani wakiishangilia timu yao mpaka dakika ya mwisho
EmoticonEmoticon