TAIFA STARS YATOKA SARE YA 2-2 NA`BLACK MAMBAS`


 
 Mshambuliaji wa timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Msumbiji katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
 Mbwana Samatta akiwatoka mabeki wa timu ya taifa ya Msumbiji. 
 
Mshambuliaji nyota wa Taifa Stars, Mbwana Samatta akiwa katikati ya mabeki wa timu ya taifa ya Msumbiji.PICHA NA HABARI MSETO BLOG
Previous
Next Post »