TAARIFA MAALUM KUTOKA BENKI KUU YA TANZANIA





Benki Kuu ya Tanzania inapenda kukanusha habari zinazosambazwa kwenye mitandao kuwa leo Jumatatu Benki ya FBME itafungwa na shughuli zote za benki hiyo zitakuwa chini ya Benki Kuu.
Habari hizi si za kweli na kwamba benki hiyo haipo chini ya usimamizi wa Benki Kuu na itaendelea kutoa huduma kama kawaida.
IMETOLEWA NA IDARA YA UHUSIANO NA ITIFAKI, BENKI KUU YA TANZANIA.
Previous
Next Post »